Rais Ruto ataka umoja wa mataifa ufadhili shirika la UNEP
0
0
29/02/24
Watu milioni 9 hufariki duniani kila mwaka, kufuatia magonjwa yanayotokana na uchafuzi tofauti wa mazingira. Hilo limebainika leo katika kongamano la 6 la umoja wa mataifa kuhusu mazingira, linaloendelea katika makao makuu ya umoja huo huko Gigiri, Nairobi.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par