Rais Ruto ataka upinzani uchangie katika vita dhidi ya ufisadi
0
0
23/01/24
Wakati huohuo Rais William Ruto ameutaka upinzani uchangie katika vita dhidi ya ufisadi badala ya kuendelea kukosoa mkutano wake na idara ya mahakama na bunge la taifa. Akizungumza huko Nakuru alipozindua taasisi ya TVET ya Gilgil, Ruto amekariri kuwa ufisadi bado ni tishio kwa taifa na ipo haja ya mihimili mitatu ya serikali kushirikiana ili kufanikisha vita hivyo
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par