Suivant

Rais Ruto atia saini mswada wa tume huru ya uchaguzi na mipaka, IEBC

10/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Rais William Ruto ametia saini mswada wa tume huru ya uchaguzi na mipaka, IEBC wa 2024 na kuwa sheria. Mswada huo uliopitishwa na bunge unatokana na mapendekezo ya ripoti ya kamati ya kitaifa ya mazungumzo ,NADCO. Sheria hiyo mpya itaweka mfumo wa usimamizi wa uchaguzi nchini, mbali na kuandaa njia ya uteuzi wa makamishna wapya wa IEBC.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant