Rais Ruto avunja baraza la mawaziri na wizara zote zitakuwa chini ya makatibu wakuu
0
0
12/07/24
Kufuatia msukumo wa kuleta mabadiliko serikalini rais Ruto amevunja baraza la mawaziri na wizara zote zitakuwa chini ya makatibu wakuu. uamuzi huo hautaathiri waziri mkuu musalia mudavadi na naibu rais Rigathi Gachagua huku mwanasheria mkuu akijipata nje ya serikali. Ruto amesema atashiriki katika mashauriano ya kina katika sekta tofauti na miundo ya kisiasa kwa lengo la kuunda serikali yenye msingi mpana.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par