Suivant

Rais Ruto awashauri wazazi wote kuhakikisha watoto wao wamesajiliwa chini ya bima ya SHA

13/12/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Rais William Ruto amewashauri wazazi wote kuhakikisha watoto wao wamesajiliwa chini ya bima mpya ya afya wakati shule zitakapofunguliwa mwezi ujao. Akizungumza katika sherehe za sikukuu ya Jamuhuri , rais Ruto amewaagiza wazazi kuandamana na watoto wao shuleni ili kufanikisha shughuli hiyo. Alisisitiza kuwa kila mtoto kote nchini lazima awe na bima ya afya ya taifa care. E

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant