Suivant

RATIBA YA LIGI KUU 2024-25 HII HAPA | LIGI KUU YASHIKA NAMBA 6 KWA UBORA BARANI AFRIKA

18/07/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Ligi yetu sasa msimu uliopita ilikuwa nafasi ya 5 kwa ubora Barani Afrika lakini bahati mbaya kwa changamoto zilizojitokeza tumejikuta tupo nafasi ya sita. Ukiitazama hiyo nafasi ya Sita wa Tano wa juu yako unamtazama Egypt, Morocco, Algeria, Tunisia na South Africa na wakati mwingine unajipa moyo na faraja unasema hata hii nafasi ya sita si haba"- CEO Almas Kasongo, Mtendaji Mkuu Body ya Ligi Kuu Tanzania.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant