Ripoti ya kamati ya bajeti yajadiliwa bungeni
0
0
06/03/24
Mjadala mkali umeibuka bungeni kuhusu ripoti ya kamati ya bajeti ya makadirio ya bajeti ya shilingi trilioni nne nukta moja nane nane ya mwaka ujao wa kifedha. Huku wabunge wakisherehekea kupata mgao zaidi wa shilingi milioni thelathini kila mmoja za fedha za kustawisha maeneo bunge, hata hivyo wawakilishi wanawake wameambulia patupu, pia kumekuwa na malalamiko kuhusu sekta za elimu na kilimo kupunguziwa fedha huku ile ya usalama ikitengewa mabilioni zaidi.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par