Suivant

Ripoti ya utafiti wa shirika la KHRC na Midrift Hurinet kuhusu ukatili wa kijinsia.

20/03/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Hali ya kiuchumi imetajwa kama moja ya sababu kuu zinazochangia ongezeko la visa vya dhulma za kijinsia dhidi ya wanawake. Katika ripoti iliyozinduliwa na shirika la kutetea haki za binadamu, KHRC na Midrift Hurinet , wanawake wanne kati ya 10 hukumbwa na angalau aina moja ya ukatili wa kijinsia.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant