Suivant

Ruto na Maandamano: Sauti za Wapinzani wa Mswada wa Fedha

28/06/24
KTN News
Dans Afrique / Kenya

Katika kipindi hiki cha kwanza cha "Kioo Cha Habari," Mike Nyagwoka, Esther Kirong, na Dalmus Sakali wanajadili maandamano dhidi ya mswada wa fedha. Wanajadili maoni ya kizazi cha Gen Z na hisia za taifa kuhusu Rais Ruto na serikali yake baada ya vifo vya kusikitisha na matukio ya kutisha yaliyoshuhudiwa wakati wa maandamano haya. Je, Ruto atachukua hatua gani ijayo, na je, huu ndio mwisho wa utawala wake? Sikiliza kujua zaidi.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant