Suivant

Ruto: ODM bado haijaingia serikalini

13/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Rais William Ruto ameanza ziara ya siku tatu katika maeneo ya kisii kwa kuzuru kaunti ya Nyamira na kuonekana kutetea hatua yake ya kuwateua viongozi wa upinzani ndani ya baraza lake la mawaziri. Rais anasema hajatengeneza serikali ya muungano kama inavyochukuliwa na wakosoaji wake ila chama chake cha uda na kile cha odm chini ya Raila Odinga wameamua kufanya kazi kwa pamoja kwa faida ya taifa zima.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant