Suivant

Sajini mwandamizi Kinyua Muriithi azikwa katika kijiji cha Kirimunge, Kirinyaga

27/04/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Sajini mwandamizi John Kinyua Muriithi ambaye ni mmoja wa maafisa wa KDF walioaga dunia katika ajali ya ndege eneo la Sindar, Elgeyo Marakwet amezikwa hii leo katika kijiji cha Kirimunge, Kirinyaga ya kati. Sajini Muriithi atakumbukwa kwa bidii yake kazini na kujitolea kwake. Kinyua ameacha mjane na watoto wawili. mumbi wambugu na taarifa hiyo.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant