Suivant

Seneta Onyonka atofautiana vikali na naibu afisa mkuu mtendaji wa tume ya EACC

18/09/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Seneta wa Kisii Richard Onyonka hii leo alitofautiana vikali na naibu afisa mkuu mtendaji wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi kuhusiana na tetesi za baadhi ya maafisa wa tume hiyo kuchukua hongo. Seneta huyo ameitaka tume hiyo kufanya uchunguzi kamili kuhusiana na kampuni mbili anazodai zimehusika pakubwa na ufisadi kupitia serikali za kaunti.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant