Seneta wa Kiambu afika katika makao makuu ya idara ya upelelezi wa jinai, DCI,
0
0
06/12/24
Seneta wa Kiambu Karungo Wa Thangwa leo amefika katika makao makuu ya idara ya upelelezi wa jinai, DCI, kuandikisha taarifa kuhusiana na vurumai iliyoshuhudiwa katika eneo bunge la limuru wiki iliyopita. Seneta huyo ingawa alifika asubuhi alisalia kuwa mgeni wa makao kutwa nzima. kitumia mitandao ya kijamii aliwakashifu maafisa wa upelelezi.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par