Suivant

SENTRO | VERSE YA AMANI TANZANIA

23/09/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Ukipata nafasi ya kuandika mistari “verse” kuhusu Amani utaandika ujumbe wa aina gani? Makachero wa Taifa Leo wana Launch Wimbo wa Amani wenye chorus na Verse 1 tu inaitwa Verse ya amani. Kwenye verse hiyo @jr_farhanjr kachana vibaya mno halafu @ally__kashmiry kapita na Sauti ya nyuma (back vocal) kisha @zizamalick_ kaumiza mbaya kwenye Chorus.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant