Suivant

SENTRO: WANAWAKE WANAPENDA KUSIFIWA | UKIACHWA ACHIKA UKINGANGANA TATIZO LA AFYA YA AKILI

08/10/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

"Stress ni sehemu ya maisha ni msongo wa mawazo lakini ni lazima uwepo na uweze kuu-manage na ukiweza tunasema afya yako ya akili iko vyema na changamoto ya Afya ya akili inakuja pale ambapo umeshindwa ku-manage zile changamoto ambazo zinakukumba za kila siku. Una mahusiano umeachwa umeshindwa kuachika na umeshindwa kukubali na umeendelea kung'ang'ana ni tatizo la afya ya akili"- Erick Bunono, Mwanasaikolojia & Mnasihi Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant