Suivant

Serikali kuu yaendeleza vita dhidi ya pombe haramu na mihadarati kote nchini

01/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Huku serikali kuu ikiendeleza vita dhidi ya pombe haramu na mihadarati kote nchini, katika mtaa wa kibiashara wa Ruaka eneo bunge la Kiambaa, kaunti ya Kiambu, wakazi wanalalamikia kuongezeka kwa vilabu kila uchao ambapo kufikia sasa vilabu vilivyopata leseni ni zaidi ya 130, jambo ambalo linakwaza vita hivyo.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant