Serikali yafutilia mbali vibali vyote kwa wazalishaji na watengenezaji wa pombe za bei nafuu
0
0
06/03/24
Serikali imefutilia mbali vibali vyote kwa wazalishaji na watengenezaji wa pombe za bei nafuu.vibali vya baa katika maeneo ya makazi na zile zilizoko karibu na shule pia vimefutiliwa mbali katika hatua mpya ya serikali ikijitahidi kuangamiza vinywaji haramu, dawa za kulevya, na matumizi ya dawa za kulevya.wakati wa kutoa maagizo, waziri wa usalama wa ndani, Kithure kKndiki, pia ameagiza watumishi wa umma katika idara za utekelezaji wanaomiliki baa kuzifunga au wajiuzulu.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par