Serikali Yampongeza Mtangazaji wa Clouds Media I Mapambano Dhidi ya Ugonjwa wa Saratani
0
0
05/02/24
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imesema inatambua mchango mkubwa unaofanywa na shujaa wa ugonjwa wa Saratani Mtangazaji wa Clouds Media ambae pia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya "Babuu Cancer Foundation" Cedou Mandingo aka Babuu wa Kitaa kwa mchango ambao amekua akiutoa katika kukabiliana na ugonjwa wa Saratania.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par