Suivant

Serilaki yatetea mswada wa fedha

23/06/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Msemaji wa serikali Isaac Mwaura ameutetea mswada wa fedha unaoendelea kupingwa na wakenya wengi akisema kuwa mswada huo utasaidia kuinua uchumi wa taifa. Msemaji huyo amelaumu baadhi ya watu ambao hakuwataja kutoka mataifa yaliyoendelea akisema kuwa wameshawishi maandamano ya Gen Z yanashuhudiwa

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant