Suivant

Shughuli ya kujenga upya vibanda katikab soko la Toi lililochomeka yaendelea

06/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Shughuli ya kujenga upya vibanda katikab soko la Toi lililochomeka jumamosi inaendelea huku wafanybiashara wakiwa na matumaini kuwa siku moja visa vya moto havitashuhudiwa tena sokoni Toi. Wafanyabiashara hao wanasema kuwa soko la toi limekuwa kitegauchumi chao kwa miaka mingi huku baadhi wakisema hawaondoki kamwe kwani wameshuhudia visa vya moto visivyopungua vitano katika soko hilo na bado hawajakata tamaa.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant