Suivant

Shughuli ya usafishaji wa mto Nairobi kufanywa kwa njia ya kipekee ili kurejesha hadhi yake ya awali

13/11/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Shughuli ya usafishaji wa mto Nairobi itafanywa kwa njia ya kipekee ili kurejesha hadhi yake ya awali. Kulingana na rais William Ruto serikali itajenga bomba la kupitisha maji taka ili kuzuia uchafu kuingia kwenye mto huo. Hatua hiyo inalenga kufanya Nairobi kuwa jiji la hadhi ya juu kama vile mataifa yaliyostawi ulimwenguni.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant