Suivant

Siasa katika kaunti ya Siaya zinazidi kutokota baada ya gavana James Orengo kueleza kama

31/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Siasa katika kaunti ya Siaya zinazidi kutokota baada ya gavana James Orengo kueleza kamati ya seneti kuhusu ugatuzi kuwa hamna nafasi ya yeye kupatanishwa na naibu wake William Oduor kwa msingi kuwa tofauti zao ni za kisiasa. Hata hivyo naibu wake ameiomba kamati hiyo ya seneti iingilie kati na kuwapatanisha kwani hawaonani macho kwa macho

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant