Siku ya kwanza ya uchaguzi wa mashinani wa chama cha UDA
0
0
27/04/24
Kila kitu si shwari katika siku ya kwanza ya uchaguzi wa mashinani wa chama cha UDA. Baadhi ya maeneo kulishuhudiwa vituo kuchelewa kufunguliwa,kucheleweshwa kwa vifaa vya kupiga kura na hata kukosekana kwa majina ya wawaniaji na wapiga kura kwenye sajili ya chama.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par