Suivant

Simulizi la Joy Mutanu aliyefanyiwa upasuaji wa moyo

14/10/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Licha ya uchunguzi wa mara kwa mara na kuelezwa kuwa anaugua ugonjwa wa tonsols, vipimo vilionyesha kuwa kuwa Joy Mutanu ana shimo kwenye moyo hatua iliyomlazimu kufanyiwa upasuaji ili kuokoa maisha yake. Simulizi la Joy ni moja ya mafanikio ya upasuaji wa moyo humu nchini, ikiwa dhahiri kuwa kuna fursa za matibabu ambazo kwa muda mrefu zimetafutwa na wengi nje ya nchi.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant