Simulizi ya upendo, uvumilivu na imani ya Simon kiarie and Sarah Nyawira
0
0
25/12/24
Simon kiarie and sarah nyawira wamekuwa kielelezo katika jamii hata baada ya kupitia changamoto za kiafya kwa miaka 14. Sara mama wa watoto wawili anaugua ugonjwa wa lupus na figo hata hivyo mumewe amekuwa mwenye upendo kwake akiwa msaidizi wake kwa miaka 14 sasa japo bima mpya ya afya ya sha imeonekana kama msumari moto kwenye kidonda. Taarifa iliyosheheni upendo, uvumilivu na imani kuwa afya ya sarah itaimarika tena.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par