Suivant

Sitaki na sitafuti chochote serikalini- Kalonzo Musyoka

28/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Sitafuti wala kutaka chochote kutoka kwa serikali ya Kenya Kwanza, ni matamshi ya kiongozi wa chama cha wiper Kalonzo Musyoka ambaye ameshikilia msimamo wa kutojiunga na baadhi ya wanasiasa wa ODM ambao wamejiunga na serikali ya rais William Ruto. Akizungumza mazishini huko mwingi kaunti ya Kitui, Kalonzo pia amelaumu mamlaka ya IPOA kwa kutowakamata polisi wanaodaiwa kuwaua vijana wakati wa maandamano..

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant