Suivant

SITAMCHUKULIA HATUA ZA KISHERIA AHMED ALLY –RC MTANDA

22/11/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Said Mtanda amesema kwa tukio lililotokea jana hapo CCM Kirumba na taarifa iliyotolewa na msemaji wa Timu hiyo Ahmed Ally hatamchukulia hatua yeyeote ya kisheria msemaji huyo na kwamba hizo ni propaganda za mechi tuu

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant