Suivant

Soko huru kunufahisha sana vijana | Uza bidhaa nchi yoyote kwa kodi iliyopangwa

10/09/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Kwenye CSO week 2024 Jijini Arusha, Mkurugenzi Mkazi wa Trade Mark Africa Elibariki Shami anasema kwenye mkutano huu wao wanajadili Namna gani Asasi za Kiraia zinashiriki kwenye ajenda ya soko huru la Afrika. Elibariki anasema mjadala huu unalenga kuona jinsi ya kuondoa vikwazo vya kibiashara kwa nchi za Afrika na jinsi ya kuongeza thamani ya bidhaa za Afrika ili kuongeza ushindani katika soko la Kimataifa. @Fcstanzania @Csoweek

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant