Suivant

Soko la muguka Mombasa lageuka mahame

05/06/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Soko la kuuza mugukaa katika eneo la Kongowea kaunti ya Mombasa limesalia mahame huku askari wa kaunti wakishika doria. Biashara hiyo ya mugukaa sasa inaanza kusambaratika Mombasa na maeneo mengine ya Pwani. Operesheni katika soko hilo inatekelezwa siku moja baada ya wabunge kutoka pwani kuunga mkono marufuku ya mugukaa Pwani huku magavana kupitia jumuia ya kaunti za pwani wakiweka wazi kuwa hawatafanya kikao chochote na waziri wa kilimo mithika linturi kuhusiana na suala la muguka.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant