Suivant

SUMAMNAZALETI: WATANZANIA NAJUA MNANIDAI | SIWEZI KUACHA STYLE YA MZIKI NAOFANYA ULINILETA MJINI

02/10/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Mtaa unanihitaji kwa sababu watu wengi kwa sababu kwenye show niliyofanya waliokuwepo watu wengi. Wengine Wana hits song lakini hawakupata umati mkubwa, nikagundua nina madeni ya kuwalipa Watanzania"- Suma Mnazaleti @Sumamnazaleti_

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant