Syria I Taifa lililogeuka Uwanja wa Vita ya Mataifa Tofauti.
0
0
14/12/24
Nchi ya Syria iko kwenye machafuko makubwa ikiwa ni baada ya kuondolewa madarakani aliyekuwa rais wa nchi hiyo Bashar al-Assad baada ya wanamgambo kulizidi nguvu jeshi la nchi hiyo.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par