Tamasha ya utamaduni ya Kapkugo yaani ya jamii zote za Kalenjin yafanyika Bungoma
0
0
09/12/24
Tamasha ya utamaduni ya Kapkugo yaani ya jamii zote za Kalenjin ilifanyika katika shule ya upili ya Kapsokwony, eneo bunge la mlima Elgon kaunti ya Bungoma. sherehe hiyo ilijuimisha maonyesho ya vyakula,,mziki na mavazi yanayohusiana na mila na desturi za jamii ya Kalenjin.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par