Suivant

Tatizo la chumba cha uzazi kwa wanawake

17/09/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Mazungumzo na Mercy Rebbeca mwenye umri wa miaka 29 ambaye alipoteza ujauzito mara 13 kabla ya kujifungua mtoto wake Angel miaka 2 iliyopita. Mercy alikuwa na tatizo la chumba cha uzazi na ilibidi afanyiwe upasuaji

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant