Suivant

Tofauti kati ya naibu Gachagua na mbunge Kimani Ichungwa imejitokeza tena

31/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Tofauti kati ya naibu rais Rigathi Gachagua na mbunge wa Kikuyu Kimani Ichungwa imejitokeza tena wakati wa ziara ya rais William Ruto katika kaunti ya Kisumu. Viongozi hao walionekana kukejeliana walipohutubia wananchi, ishara kuwa uhusiano wao bado una dosari. tofauti za wawili zinaendelea kudhihiri huku rais william ruto akizidi kutoa wito wa umoja nchini. Wito wa rais wa kuliunganisha nchi kwa kuunda serikali jumuishi unakinzana na hali halisi katika chama tawala.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant