Suivant

Tume ya SRC yaondoa ilani ya nyongeza ya mishahara kwa maafisa wa serikali

04/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Tume ya mishahara nchini ,SRC Imeondoa ilani ya nyongeza ya mishahara kwa maafisa wa serikali iliyonuiwa kutekelezwa mwaka huu wa kifedha. Haya yanajiri baada ya Rais William Ruto kuagiza wizara ya fedha iangalie upya ilani ya gazeti rasmi la serikali ya tume ya src ya agosti mwaka jana kuhusu mishahara hiyo kufuatia kuondolewa kwa mswada wa fedha wa mwaka huu

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant