Suivant

Uchaguzi uliokuwa umeahirishwa na tume ya IEBC umengo’a nanga hii leo

08/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Uchaguzi uliokuwa umeahirishwa na tume ya IEBC katika maeneo nane ulingo’a nanga mapema hii leo japo changamoto zilishuhudiwa kwa baadhi ya maeneo. Kuanzia idadi ndogo ya wapigaji kura kujitokeza, na maeneo mengine yakishuhudia vurugu.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant