Uhamasishaji kuhusu vita dhidi ya dhulma za jinsia
0
0
01/11/24
Kabla ya siku 16 za uhamasishaji kuhusu vita dhidi ya dhulma za jinsia zinazokaribia, wizara ya maswala ya jinsia imeahidi kushirikiana na vyombo vya usalama ili kuharakisha uchunguzi na haki ya maswala yanayohusiana na dhumlma za jinsia na visa vya mauaji vinavyolenga wanawake nchini. Hii inafuatia ripoti ya huduma ya polisi ya kitaifa ikiashiria kuwa zaidi ya wanawake 90 wamepoteza maisha yao katika miezi mitatu iliyopita
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par