Ujenzi wa barabara ya Aberdare wapingwa
0
0
09/03/24
Muungano wa wahifadhi wa mazingira ulio na wanachama 73 umeelekea katika mahakama ya ardhi na mazingira, kupinga kujengwa kwa barabara katika mbuga ya kitaifa na msitu wa Aberdare. Kulingana na muungano huo, ujenzi wa barabara hiyo utaathiri pakubwa msitu wa Aberdare, ambao ni mmoja wa minara mitano ya maji humu nchini.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par