Suivant

UKIMALIZA CHUO STRESS TUPU | AJIRA MPAKA UWE NA UZOEFU KUANZIA MIAKA 5 | BORA FIELD NA KUJITOLEA

16/07/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Ukimaliza chuo unapata msongo wa mawazo unafikiria urudi nyumbani au ubaki. Kidogo inahitaji utulivu. Takwimu kutoka katika wizara ya fedha za mwaka 2022 au 2013 walihitimu wanafunzi Laki Mbili na Arobaini ukipiga hesabu watu kama hao wameiingia mitaani ajira ni jambo ambalo ni gumu kidogo. Hakuna sehemu ambayo wote mtapokelewa"- Aaron Masasi, Muhitimu Bachelor Degree in Customs and Tax Management - Chuo cha Kodi.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant