Suivant

Uongozi wa kijiii wajuuzulu | Mradi kushindwa kukamilika

19/06/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Wananchi wa Kijiji cha Sali kilichopo Kata ya Sali Wilayani Ulanga Mkoani Morogoro wameziomba mamlaka za serikali kuruhusu utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa shule ya sekondari kijijini hapo. Kwa mujibu wa wananchi, kukwama kwa mradi huo kumepelekea uongozi wa Serikali ya Kijiji cha Sali kujiuzulu madarakani tangu mwaka 2021 na kupelekea shughuli za maendeleo ya kijamii ikiwemo utatuzi wa kero na kukwama. Makala ya Abel Mponela aliyepiga kambi kijijini hapo imeangazia hali ya Maisha ya wananchi kijijini hapo kwa kipindi cha miaka 3 bila uongozi wa serikali ya Kijiji na hali ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant