Suivant

Utabiri wa hali ya hewa kuimarika Kenya

17/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Kenya sasa ipo katika nafasi bora zaidi ya kutabiri majanga ya haidrolojia kama vile ukame na mafuriko. Hii ni baada ya kupokea vituo vya utabiri wa hali ya hyndrolojia nchini. Kutoka kwa shirika la nile basin initiative. Waziri wa maji, Eric Muuga, amewaomba wananchi kulinda vituo hivyo ili wafaidike zaidi huku akiripoti kuwa tayari kituo kimoja kiimevamiwa na vifaa kuibwa hata kabla ya mikakati ya kupokezana kukamilika.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant