Suivant

Utafiti wa Infotrak kuhusu serikali na hali ya maisha

30/12/23
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Rais Wlliam Ruto amezoa asilimia 47% ya alama sawia alama ya da huku naibu wake Rigathi Gachagua akiwa na asilimia 36% ambayo ni nakili ya alama ya e kulingana na utafiti uliotolewa na kampun ya infotrak. Utafiti huo wa mwisho wa mwaka pia ulishuhudia taasisi mbali mbali ikiwemo idara ya mahakama, polisi, bunge na upinzani ikizoa alama ya da. asilimia 61 ya wakenya walalamikia kwamba mwaka wa 2023 ulikuwa mwaka mgumu katika sekta ya uchumi kwa kutokana na ushuru mkubwa na hali gumu ya maisha. Utafiti mwingine wa tifa inaweka idadi hiyo kuwa 81% ambapo wanasema matarajio ya uchumi wa nchi ilidiidmia kwa kiasi kikubwa zaidi ikilinganishwa na mwaka wa 2022.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant