Suivant

Utafiti wa infotrak unaonyesha kuwa Raila apendekezwa kama mmoja wa watakaomrithi Rigathi Gachagua

13/10/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Utafiti wa infotrak unaonyesha kuwa Raila Odinga amependekezwa kama mmoja wa watakaomrithi Rigathi Gachagua ikiwa atatimuliwa na bunge la seneti. Odinga alitajwa kama bora kutokana na tajriba yake hasa ya uongozi. Hata hivyo kulingana na utafiti huo waziri kithure kindiki ndiye chaguo la wengi akipata asilimia 20 huku asilimia 44% wakidai kwamba bunge la seneti litamtimua naibu wa rais.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant