Suivant

UWANJA WA KINONDONI WA ZINDULIWA RASMI | KINONDONI VUMBI LA PEPEA KUTOKA KWA WAPENZI WA MPIRA

09/07/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Jambo la kwanza lililotufanya tufike hapa ni kwamba zile ndoto zetu zimetimia. Tulianza na dhamira tulikuwa tunataka tuwe na kitu kama hiki (tuwe na uwanja wetu). Dhamira ya kuwa na timu miaka takribani Saba iliyopita. Tukisema sisi kama Kinondoni ni wakusanya ushuru. Tunaendeshwa na wananchi wauza karanga, wauza maji na vidogo vidogo wanavyochangia kwa halmashauri ya Kinondoni- Meya Manispaa ya Kinondoni Meya Mh Songoro Mnyonge

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant