Suivant

Vidimbwi vya mchanga vya Mambrui vya vutia watalii na kuwapa mtaji vijana wa eneo

04/01/25
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Msimu huu wa likizo ndefu ya sherehe za krisimasi na mwaka mpya unapotamatika wageni wengi hufika katika pwani ya kenya kujivinjari. Mbali na fuo za bahari ambazo toka jadi zimekuwa kivutio kikubwa cha wataliii Pwani kuna vidimbwi vya mchanga almaarufu Sand dunes vinazopatikana eneo la Mambrui kaunti ya Kilifi.....

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant