Vifo vya watoto wa shule ya msingi ya Kimarich kaunti ya Nandi
0
0
18/06/24
Miili ya watoto watatu wa shule ya msingi ya Kimarich, iliyopatikana kwenye kidimbwi eneo la Iyobei kaunti ya Nandi siku ya Jumamosi baada ya kukosa kufika shuleni ijumaa, imehifadhiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya Nandi hills huku shughuli ya upasuaji wa kubaini viini vya vifo vyao ikisubiriwa kufanywa.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par