Vijana Trans Nzoia wahamasishwa dhidi ya utumizi wa dawa za kulevya
0
0
06/12/24
Kwa mara nyingi mitaa ya mabandaa imekuwa na changamoto ya uhalifu pamoja na utumizi wa mihadarati ila viongozi katika kaunti ya Trans Nzoia wameanzisha mchakato ya kumaliza visa hivyo kwa kubuni talanta mbalimbali miongoni mwa vijana.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par