Vijana wa bodaboda wazua hofu Nairobi
0
0
23/07/24
Maswali yameibuka kuhusu bodaboda zilizoonekana katikati mwa jiji hii leo na mabango yanayounga serikali mkono. Huku baadhi ya wakenya wakilalamikia kuporwa na wanabodaboda hao. Wahudumu wa boda boda wa katikati mwa jiji wamekanusha kuwajua,na hata kuwavamia baadhi walipowaibia wananchi na kuchoma pikipiki zao. Baadhi ya maswali ambayo hayajapata majibu ni je,nani aliwafadhili wanabodaboda hao? na maagizo waliyopewa yalikuwa ni gani?
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par