Suivant

Vijana wa Gen Z wapanga kujitokeza kwa wingi kuadhimisha siku ya Saba Saba

05/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Vijana wa Gen Z wametilia shaka hatua ya Rais Ruto kuitisha kikao katika mtandao wa X hapo kesho ijumaa ilhali hajatekeleza matakwa yote wanayoyapendekeza. Wakijipanga upya kabla ya kuendelea na maandamano yao ya kupinga serikali baada ya wahuni kuvuruga wamewasihi wenzao kujitokeza kwa wingi siku ya Saba Saba ili wazidi idadi ya wahuni na kutekeleza haki yao ya kuandamana kwa amani. Kizungumkuti cha ni nani atawakilisha vijana katika kikao na Rais kinatokota.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant