Suivant

Vijana wanne wanaokisiwa kuwa wahalifu wauawa kwa kupigwa risasi Buruburu jijini Nairobi

25/12/23
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Vijana wanne wanaokisiwa kuwa wahalifu wameuawa kwa kupigwa risasi mapema leo na maafisa wa polisi katika mtaa wa Buruburu hapa jijini Nairobi. Waliofika eneo la mkasa wanadai kupata mapanga kutoka kwa wanaume hao wenye umri wa kati ya miaka 20 na 30.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant